Advertisements

Saturday, May 6, 2017

MISA YA KUMBUKUMBU DMV

Familia ya marehemu Felician Ferdnand Minde wanakukaribisha kwenye misa ya kumbukumbu ya Felix Felician aliyefariki March 16th, 2017 na kuzikwa huko nyumbani Tanzania. Marehemu
ni baba mzazi wa Koku na ni kaka wa Frida na Felina.

Misa itafanyika
Jumapili, May 7th, 2017 kuanzia saa nane kamili alasiri (2pm)
St Edward Parish
901 poplar Grove St,
Baltimore, MD 21216,

Kwa mawasiliano zaidi
5072717976....Felister (koku)
5072719876... Felina
2407793513...Frida

No comments: