ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 31, 2017

OLE NASHA AHIMIZA MATUMIZI YA MBEGU BORA KWA WAKULIMA

Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha (kushoto) akitambulishwa wafanyakazi wa kampuni ya Monsanto Tanzania baada ya ofisi yao kufunguliwa hapa nchini eneo la Njiro mkoani Arusha, kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Monsanto Afrika, Dk Shukla Gyanendra. Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha (kushoto) akikagua ghala la mbegu bora zenye uwezo wa kumpa mkulima mazao bora.
Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha akizungumza jambo baada ya kukagua ghala la mbegu bora za kampuni ya Monsanto zenye uwezo wa kumpa mkulima mazao bora Meneja Kiongozi wa kampuni ya mbegu ya Monsato Tanzania, Frank Wenga akieleza mipango kamambe ya kuwafikishia mbegu bora wakulima kote nchini.
Wageni mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa ofisi ya Monsanto Tanzania. Meneja Kiongozi wa kampuni ya mbegu ya Monsato Tanzania, Frank Wenga akifafanua jambo kwa waandishi wa habari . Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya Monsato na mawakala wa mbegu nchini waliohudhuria uzinduzi wa kampuni wa ofisi ya kampuni hiyo jijini Arusha.

No comments: