Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa New York, Baloz Modest J. Mero akisoma ujumbe kama mgeni rasmi kwenye sherehe ya miaka 53 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar ilifanyika New York City, kwa kuandaliwa na uongozi wa New York Tanzania Community, Na kuudhuliwa na Watanzania mbalimbali kutoka maeneo ya jirani na New York States. Katika shamla shamla ya sherehe hiyo kulifanyika mambo mbalimbali kama utoaji wa zawadi, chakula cha ki Afrika sambamba na burudani ya music wa ki Africa.
Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa New York, Baloz Mero akiingia ukumbini uku akisindikizwa na Makamu Mwenyekiti wa NYTC, Gaston.
Mshereheshaji wa shughuri bwana Msami, Joseph.
Justa Lujwangana — Founder and CEO of Curious on Tanzania akipata ukodak na balozi kabla ya kukabizi zawadi kwa mshindi wa bahati nasibu iliyokuwa inaendeshwa na eye mwenyewe ukumbuni hapo.
Jessica Che mponda akiongea machache juu ya Dicota.
Tina Kakolaki akitumbuiza kwa music wake mzuri ukumbini hapo.
Bwana David Mrema akiongea machache juu ya jinsi ya kujiunga Pamoja We Can na faida yake pale unavyokuwa mwanachama.
Koku Gonza akiwa kwenye meza yake iliyopambwa Kiafrica sambamba na kuuza CD zenye nyimba zake.
Jessica Cha-mpenda mwakilishi wa Dicota akipata ukodak na David Mrema wa Pamoja We Can Harambee USA, wote kwa pamoja walifanikisha sherehe ya Muungano kwa udhamini wao.
Kwa picha zaidi tembelea hapa http://temba.photoshelter.com/portfolio/G0000JKBQGwX3y.w On behalf of the Executive leadership of New York Tanzanian Community (NYTC) we would like to say thank you to all those who came to our event yesterday and for those who showed support in one way or another. We are truly grateful. Special thank you to... To the board of trustees and the representatives from the board - Rashid Toure, Board Secretary - Jessica Che-Mponda - Fatima Hassan Hon. Balozi Mero and his staff and representatives for our function, Mzee Khamis and Doris Rweyemamu. Event Sponsors - DICOTA, represented by Jessica Che-Mponda - Pamoja We Can, represented by David Mrema - Amefricargo Express LLC, represented by Patrick Liganga Media & Promotion Crew - Vijimambo- - Temba Photos, Dr. Temba - BM Promotions & Entertaiment, Bahia Mahundi MCs - Dr. Linda Mhando - Joseph Msami Performers - Clementina "Tina" Kakolaki - Kokugonza And last, but not least a special and BIG thank you to our planning committee members * Rashid Toure -Finance * Jessica Che-mponda - Program & Floor Manager * Fatima Hassan - Decoration & Floor Manager * Mr. Abdallah Khamis - Tanzanian Mission Correspondent * Dr. Linda Mhando - Entertainment * Joseph Msami - Entertainment * Doris Rweyemamu - Tanzania Mission Correspondent * Victoria Geoarge - Floor Manger & Decorations * Zelda Mdachi - Food * Sophie Yona - Food * Justa Lujwangana - Entertainement * Patrick Liganga - Drinks & Bar * Maurus Mwingira - Bartender & Venue Prep * Adela Mwakasekele - Food * Linda Mkapa - Food and Venue Prep. We are happy the event was a success and it would not have been possible without you all. We value you all and we are our community and our organization. Together we can build our organization. May the message received from our event be a call to action for us all. Our organization needs us and there are many ways we can contribute to it. Tuendelee kuwa na amani, umoja, na muungano. |
1 comment:
hongereni sana wana new Yorkers watanzania diasporah.mmpendeza sana.
Post a Comment