Advertisements

Friday, May 12, 2017

PICHA ZINGINE TANZANIA DAY DALLAS, TEXAS

MshereheshajiSunday Shomari akielekeza jambo siku ya Tanzania Day iliyofanyika May 5-7 Dallas, Texas nchini Marekani na kuhudhuriwa na watu mbalimbali kutoka kila kona ya Dunia na kuifanya siku hii kuwa ya mafanikio makubwa,
Mwambata wa jeshi Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada Colonel Adolph Mutta akitoa salamu za Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kwenye Tanzania Day Dallas, Texas nchini Marekani. Colonel Adolph Mutta alitoa salamu hizo kwa niaba ya Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Wilson Masilingi.
Wadau mbalimbali waliohudhuria Tanzania Day iliyofanyika May 5-7, 2017 Dallas, Texas nchini Marekani.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Kwa Picha zaidi Bofya HAPA

No comments: