Wabunge wa Nkasi, Tabora na Shinyanga wakiwasili tayari kukabidhiwa magari la kubebea wagonjwa waliyopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwakaribisha Wabunge Mhe Ali Mohamed Kessy (Nkasi Kaskazini) Mhe. Munde tambwe (viti maalumu - Mkoa wa Tabora) na Mhe Lucy Mayenga (viti maalumu-mkoa wa Shinyanga) kupokea magari ya kubebea wagonjwa waliyopewa saada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akimwangalia Mbunge wa Nkasi Mhe Ali Mohamed Kessy baada ya kumkabidhi gari la kubebea wagonjwa alilopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akimwangalia Mbunge wa Viti Maalumu Mhe Lucy Mayenga baada ya kumkabidhi gari la kubebea wagonjwa alilopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akimwangalia Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Munde baada ya kumkabidhi gari la kubebea wagonjwa alilopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi (kati) akiwa na Katibu Mkuu Ikulu Mhe. Alphayo Kidata (Kushoto) na Mkurugenzi wa Huduma Ikulu Bw. Charles Mwankupili (kulia) na Wabunge Mhe Ali Mohamed Kessy (mbunge wa Nkasi Kaskazini) Mhe. Munde tambwe na Mhe Lucy Mayenga (wabunge viti maalumu) baada ya kuwakabidhi magari la kubebea wagonjwa waliyopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 9, 2017.
PICHA NA IKULU
2 comments:
Asante nadhani kwa usahihi waandishi
Huu sio msaada ni fedha za walipa.kodi zimefanya kazi hazijatoka mfukoni mwa kiongozi fulani. Tunamshukuru kwa kuagiza na nadhani nchi nzima inahitaji kupata hivyo uwe muendelezo tuu. Viva.
Mi naomba nikuulize mtoa comment hapo juu. Hivi kwani Rais hana roho ya kutoa msaada? Na je hana haki ya kutoa msaada sehem kwa maamuzi yake? Je wapi uneona kuwa hizo ni pesa za walipa kodi? Kwani Rais hawezi kutoa msaada kwa pesa yake binafsi?
Ni maswali tu naomba unijibu yaweza kuwa wengine tumemiss kitu! Pia usi hide id next time fanya kama mimi. Asante
Post a Comment