Advertisements

Tuesday, May 16, 2017

RAIS WA ZANZIBAR DK, ALI MOHAMMED SHEIN AFANYA ZIARA YA KUWAFARIJI WAATHIRIKA WA UPEPO WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Pangawe na Kijitoupele Shamsi Vuai Nahotha wakati alipofanya ziara ya kuwatembelea na kuwafariji waathirika wa Upepo uliotokezea katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe ambapo jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein akipata maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud alipofanya ziara ya kuwatembelea na kuwafariji waathirika wa Upepo uliotokezea katika shehia ya Kinuni, Mwanakwerekwe na Pangawe ambapo jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja.
 Baadhi ya nyumba zilizoathirika kutokana na Upepo mkubwa uliotokezea hapo jana katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe zikionekana kuezekwa na wenyewe. Jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja.
 Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud katikati akiwatembelea pamoja na kuwafariji waathirika wa Upepo uliotokezea katika shehia ya Kinuni, Mwanakwerekwe na Pangawe ambapo jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja.
 Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud akisalimiana na Mzee Suleiman Ali Makame muathirika wa Upepo uliotokezea katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe ambapo jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja.
 Mwandishi wa Habari wa ITV na Redio One Farouk Karim akifanya mazungumzo na Mzee Suleiman Ali Makame muathirika wa Upepo uliotokezea katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe ambapo jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja.
  Wataoto wa maeneo ya Nyarugusu Wilaya ya Mjini,Unguja wakimuangalia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) wakati alipofika katika shehia ya Nyarugusu, Jimbo la Pangawe kuwafariji na kutoa pole kwa wananchi walioathirika na Nyumba zao zilizobomoka kutokana na Upepo mkali uliotokea jana katika maeneo yao na kupelekea uharibifu kwa kung'oka mapaa ya Nyumba wanazoishi, wakati alipofanya ziara maalum leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud (mbele) wakati alipofika katika shehia ya Nyarugusu, Jimbo la Pangawe leo alipofanya ziara maalum ya kuwafariji  wananchi ambao Nyumba zao zimepata athari ya kun'goka kwa mapaa   kutokana na Upepo mkali uliosabisha   na  uharibifu   huo jana, ambao  umepelekea kukosa pahala pa kuishi.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Vijana waliojitolea kutoa msaada kwa Wananchi wa Shehia ya Nyarugusu Jimbo la Pangawe waliopatwa na  maafa ya Nyumba zao kungoka Mapaa kutokana na Upepo Mkali uliotokea jana, alipofanya ziara maalum ya kuwafariji  wananchi hao leo alipofika kutoa mkono wa pole.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na  kuwasalimia Wananchi wa Shehia ya Nyarugusu Jimbo la Pangawe waliopatwa na  maafa ya Nyumba zao kung'oka Mapaa kutokana na Upepo Mkali uliotokea jana, alipofika   kuwafariji na kuwapa pole kutokana mtihani walioupata,alipokuwa katika ziara maalum  leo akiwa na Viongozi mbali mbali wa Jimbo hilo
 Miongoni mwa Nyumba zilizoharibika kutokana na Upepo Mkali ulitokea jana katika maeneo ya Nyarugusu Jimbo la Pangawe Mkoa wa Mjini Magharibi na kupelekea Wananchi kukosa maakaazi ya kuishi,hali hilo aliiyona Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) wakati alipofanya ziara maalum leo katika Shehia hiyo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) alipokuwa akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Shehia ya Nyarugusu Jimbo la Pangawe waliopatwa na  maafa ya Nyumba zao kung'oka Mapaa kutokana na Upepo Mkali uliotokea jana, alipofika   kuwafariji na kuwapa pole kutokana mtihani walioupata,wakati alipofanya ziara maalum  leo akiwa na Viongozi mbali mbali wa Jimbo hilo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) alipokuwa akizungumza Waandishi wa Habari baada ya kuwafariji na kutoa pole kwa Wananchi wa Shehia ya Nyarugusu Jimbo la Pangawe waliopatwa na  maafa ya Nyumba zao kung'oka Mapaa kutokana na Upepo Mkali uliotokea jana,  wakati alipofanya ziara maalum  leo akiwa na Viongozi mbali mbali wa Jimbo hilo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Nd,Abdalla Ali Mohamed Mwananchi wa Makondeko Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakati alipofika Nyumbani kwake akiwa ni miongoni mwa Wananchi waliopatwa na  maafa ya Nyumba zao kungoka Mapaa kutokana na Upepo Mkali uliotokea jana,Rais alifika katika shehia hiyo leo wakati alipofanya ziara maalum ya kuwafariji  Wananchi, na  kutoa mkono wa pole,(katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud.

No comments: