Advertisements

Friday, May 26, 2017

TANGAZO LA KISOMO CHA KHITMA DMV

Assalaamu Aleikum Warahmatullahi Wabarakatuhu.

Familia ya Baybe Mgaza na Tito Mazali wanawakaribisha kwenye kisomo cha kuwaombea wapendwa wao, Aziza Seif, Shelu Batchu na Sofia Juma, waliofariki na kuzikwa Tanzania.

Kisomo kitafanyika siku ya Jumaapili Mei 28, 2017. Panapo majaaliwa.

Kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi saa mbili usiku. [6:00 to 8:00pm].

Baada ya kisomo kutakuwa na futari ya pamoja.

Adress ni
Indian Springs Terrace Local Park
9717 Lawndale Dr,
Silver Spring, MD 20901

Kwa maelezo zaidi wasiliana na :

Mayor Mlima 3018068467
Baybe Mgaza 2022005031
Tito Mazali 2408481722
Ali Mohamed 3015009762
Asha Hariz 7036242409


Tunatanguliza Shukrani.
Wabillahi Tawfiiq.

No comments: