Advertisements

Wednesday, May 24, 2017

TANGAZO LA UBATIZO WA WATOTO DMV


Ndugu katika jina la Yesu Kristo. Nawatangazia kuwa, katika ibada ya May 28, 2017 kutakuwa na ubatizo wa watoto. Hadi sasa mzazi mmoja amethibitisha mtoto wake kubatizwa siku hiyo.

Nawaalika wote waliotayari watoto wao wabatizwe mpigie simu Mch. Mbatta na kumpelekea majina ya mtoto yatakayo kuwa kwa SHAHADA (Certificate) ya ubatizo.

Katibu
Swahili Lutheran Church.

No comments: