Advertisements

Monday, June 12, 2017

Benki ya NMB yafanikisha Kongamano la Kitaifa la Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchimi

Kaimu Mkurungenzi wa wateja wakubwa wa benki ya NMB, Michael Mungure akipokea kikombe na cheti kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Vijana na watu wenye ulemavu, Jenista Mhagama ikiwa ni kutambua mchango wa benki hiyo kwenye kongamano la Kitaifa la Baraza la uwezeshaji wananchi kiuchumi (NEEC) lililofanyika mjini Dodoma mwisho wa wiki. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akimkabidhi cheti Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati, Straton Chilongola katika kutambua ufadhili wa benki hiyo kwenye Kongamano la Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) uliofanyika mwishoni mwa wiki mjini Dodoma Maofisa waandamizi wa Benki ya NMB wakiwa pamoja na tuzo walizokabidhiwa kutambua ufadhili wa benki hiyo kwenye Kongamano la Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) uliofanyika mwishoni mwa wiki mjini Dodoma.

No comments: