Advertisements

Monday, June 12, 2017

IBADA YA MAREHEMU SAMUEL NJOGU KAMAU YAFANYIKA JESSUP, MARYLAND

Samuel Njogu Kamau enzi ya uhai wake.
Mchungaji Sasha Butler akiongoza Ibada ya kumbukumbu ya marehemu Samuel Njogu Kamau iliyofanyika siku ya Jumapili June 11, 2017 Jessup, Maryland nchini Marekani. Marehemu ni kaka ya Hannah Kamau amabye ni mke wa Julius Jenge(hawapo pichani)

John Muchiri akielekeza jambo kwenye ibada ya kumbukumbu ya marehemu Samuel Njogu Kamau iliyofanyika Jessup, Maryland siku ya Jumapili, June 11, 2017.
 Familia ya marehemu kutoka kushoto ni Rosaland Muchiri, Bernice Mwangi, dada ya marehemu Hannah Kamau, Mume wa Hannah Julius Makiri Jenge na watoto wao wakifuatilia ibadaya kumbukumbu ya marehemu Samuel Njogu Kamau iliyofanyika siku ya Jumapili Jessup, Maryland nchini Marekani.

kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Mshereheshaji Rosaland Muchiri (kulia) akiita familia ya marehemu mble ya kanisa kwa ajili ya maombezi, kushoto ni dada ya marehemu Hannah Kamau na mchungaji Sasha Butler (kati)

Familia ya marehemu ikiwa katika maombezi.

Ibada ikiendelea.
ndugu, jamaa na marafiki wakifuatilia ibada
Ibada ya kumbukumbu ya marehemu Samuel Njogu Kamau ikiendelea.

Ndugu, marafiki na jamaa mbalimbali waliofika kujumuika na familia kwenye ibada ya kumbukumbu ya marehemu Samuel Njogu Kamau.

Dj Mayor akiburudisha na nyimbo za injili.
Mkono wa pole kwa familia
Watu mbalimbali waliojumuika na familia katika ibada ya kumbukumbu ya marehemu Samuel Njogu Kamau wakitoa mkono wa pole kwa familia.
Mkono wa pole kwa familia kutoka ndugu, jamaa na marafiki.
Mkono wa pole kwa familia.

Mdjs wakipata picha namashabiki zao

No comments: