Advertisements

Sunday, June 11, 2017

Misa ya Kiswahili - Jumapili June 11, 2017

Wakristu wapendwa,

Tumsifu Yesu Kristu.

Padre Peter Mushi na Padre Godfrey Amobi, wanapenda kuwatangazia ya kuwa,

Misa yetu ya kiswahili itafanyika Jumapili, tarehe 11 Mwezi Juni, 2017, Saa 8:00 mchana (Sunday 11 June 2017 at 2 pm).

Tunawakaribisha watu wote wanaopenda kuhudhuria ibada yetu ya Kiswahili.

Anwani yetu ni: Kanisa la Mt. Cecilia, 120 East 106 Street, New York, NY 10029. Between Lexington and Park Avenue.

Chukua Train # 6. Mpaka kituo cha 110 St. Halafu tembea ukirudi mpaka 106 St.

Ni matumaini yetu kwamba mtafika kwa wingi. Karibuni sana tumshangilie Bwana, kwa lugha yetu ya Kiswahili.

Mbarikiwe.
Kutoka kwa Padre Peter Mushi na Padre Godfrey Amobi

No comments: