Wapendwa katika Bwana, karibu misa ya Kiswahili Jumapili June 4, 2017 katika kanisa la United Lutheran Church @
1 Wartburg Place,
Mount Vernon NY 10552
saa saba na nusu mchana(1:30pm).
Ibada itaongozwa na Mchungaji Perucy Butiku. Wote mnakaribishwa. Bwana awe nanyi.
No comments:
Post a Comment