Advertisements

Sunday, June 11, 2017

MSIBA DMV NA TANZANIA LEO JUMAPILI KUTAKUA NA IBADA

Familia ya Professor Boas wa Mount Rainier, Maryland inasikitika kutangaza kifo cha Dada yake Prof Boas (Upendo), kilichotokea ghafla June 9th huko Tanzania.Kama ilivyo desturi yetu kupeana pole ndio ustaarabu wetu msiba upo

 4617 30th st
Mt Rainier, MD 20712

Tujumuike pamoja na familia tuwape pole katika msiba huu wa kuondokewa na mpendwa dada/shangazi yao.

Leo Jumampili June 11, 2017 kuanzia saa 9 alasiri kutafanyika ibada ya kumowmbea marehemu
 nyumbani kwa Professor Boaz ambaye anatarajia kuondoka  kwenda Tanzania siku ya Jumatatu June 12, 2017
God bless you.

Kwa maelezo zaidi na maelekezo na kutoa pole piga simu 240-593-6348
Professor Boas

Bwana ametoa, Bwana ametwaa, sisi ni waja wake na kwake tutarejea, jina Bwana lihimidiwe sasa, siku zote na hata milele.

No comments: