Wachezaji wenzake wa zamani na wa sasa wa mchezaji marehemu, Cheick Tiote, wamehudhuria misa ya kuuga mwili wa mchezaji huyo wa Newcastle United aliyefariki mapema mwezi huu.
Tiote alifariki dunia baada ya
kuanguka akiwa mazoezini na klabu yake ya China ya Beijing
Enterprises, ambapo watu waliokuja kutoa heshima zao za mwisho kwa
kiungo huyo Jijini Beijing.
Mchezaji mwenzake wa zamani, Papiss
Cisse alikuwa ni mingoni mwa waliohudhuria misa hiyo ambapo alijikuta
akishindwa kujizuia na kububujikwa na machozi mbele ya jeneza la
Tiote.
Papiss Cisse akitokwa na machozi katika misa ya kuuaga mwili wa Cheick Tiote
No comments:
Post a Comment