Advertisements

Wednesday, June 28, 2017

JITIRIRISHE TASWIRA YA SHEREHE YA EID EL FITRI ILIYOFANYIKA MT VERNON NEW YORK


Seif Akida, organize wa shughuri mzima akipa Ukodak  wa kumbukumbu na marafikia zake siku ya ya sherehe ya Eid El Fitri iliyofanya, 30 Overhill Rd. Mt Vernon New York.


Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa, Mhe. Modest J. Mero na mama mwenye nyumba wake wakichukua chakula katika sherehe hiyo ya Eid El Fitri, Mh. balozi Mero alikuwa mmoja ya wageni waalikwa kwenye sherehe hiyo.


Bwana Mohammed Kibdya na mke wake kutoka Springfield wakichukua chakula , Kwa picha zaidi nenda soma zaidi.

Bwana Seif Akida akiongea bele ya wageni waalikwa.

Hii inaitwa ukishikwa shikamana.


Mchoma nyama kutoa Cambodia alikuja kwa shughuri hii tu. anitwa bwana Warcheerah 



No comments: