Waislam wa New York tuna wakaribisha katika sherehe za Eid El Fitri, Itakayofanyika
30 Overhill Rd
Mount Vernon NY 10552.
Siku ya Jumapili, 6/25/17, au jumatatu 6/26/19 kufatana na mwezi utakapo andama kuanzia saa nane mchana.Wote mnakaribishwa.
Shukran.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na
Bilal 9173355132
Amiri 5513582791
Akida 9175573195
No comments:
Post a Comment