Advertisements

Sunday, June 11, 2017

WANADMV WAJUMUIKA PAMOJA NA KUMPA POLE PROFESSOR BOAS NYUMBANI KWAKE MOUNT RAINIER, MARYLAND

 Professor Boas akiwa nyumbani kwake Mount Rainier, Maryland akiomboleza msiba wa dada yake Upendo aliyefariki June 9, 2017 nchini Tanzania
 WanaDMV wakijumuika pamoja na Professor Boas nyumbani kwake Mount Rainier, Maryland 
  WanaDMV wakijumuika pamoja nyumbani kwa Professor Boas kutoa mkono wa pole kwa msiba wa dada yake Upendo aliyefariki June 9, 2017 nyumbani Tanzania.
  WanaDMV wakijumuika pamoja nyumbani kwa Professor Boas kutoa mkono wa pole kwa msiba wa dada yake Upendo
 Mrs Boas katika picha.
 WanaDMV wakijumuika pamoja nyumbani kwa Professor Boas (kushoto) kutoa mkono wa pole kwa msiba wa dada yake Upendo

No comments: