Advertisements

Sunday, July 16, 2017

CHOMA NYAMA YA NEW YORK USIPIME, TUMEKULA, TUMESAZA NA WENGINE TUMECHUKUA NYUMBANI


Kutoka kushoto ni Lunda, NY Ebra, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa, Mhe. Modest J. Mero, Jaji Mkuu mstaafuMhe. Jaji Othman Chande na Ibra katika picha ya pamoja walipokua kwenye BBQ ya nguvu iliyoandaliwa na Jumuiya ya New York na kuikaribisha timu ya soka ya DMV kwa ajili ya kunogesha choma nyama hiyo iliyofanyika siku ya Jumamosi July 15, 2017 katika viwanja vya Lincoln Park, Jersey City, New Jersey.


Mfugo ukichomwa 
Vyuku nao wakichomwa.
Wadau wakipata vinywaji vyepesi na nyama choma
Kwa picha zaidi bofya soma zaid
i


No comments: