Advertisements

Saturday, July 15, 2017

IGGY SEMAKULA WA MINNESOTA AFUATA JIKO KIBOSHO TANZANIA


Soon to be Mr and Mrs Iggy mkono ng'aring'ari baada ya kukubari kuwa mdhamini wa pendo la Iggy.Hapa Iggy Semakula akipiga goti mbele ya mdhamini wake wa pendo lake Mambo haya yalifanyika huko Kibosho Kilimanjaro Tanzania, Iggy alienda kutoa mahari na kupata nafasi ya familia za pande mbili kujuana na kula chakula cha pamoja. Napia kupanga tarehe ya harusi ambayo itakuwa December 30/2017.

No comments: