Mke wa Waziri Mkuu Mery Majaliwa ametoa Wito kwa Wazizi kupeleka Watoto wa Kikeke Shule ametoa wito huo katika mkutano wa hadhara Uliofanyika Kiwanja cha Michezo wilaya ya Liwale July 10, 2017 ,Mama majaliwa ameongozana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika ziara ya kikazi ya siku Nne Mkoani Lindi.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia Dawa zilizopo katika Stoo ya Dawa Hospital ya Wilaya ya Liwale July 10, 2017 ,kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mbunge wa Wilaya ya Ruangwa(CUF) Zuberi Kichauka na kulia ni Mganga Mkuu wa Wilaya ya Lindi Dr Maulid Majala, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa yupo katika ziara ya kikazi ya siku Nne Mkoani Lindi
Pcha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment