Advertisements

Friday, July 14, 2017

MSAADA WA HARAKA UNAHITAJIKA

Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh.
 Natumai ndugu zangu mpo salama humu. I have request kwa ambaye ataona anaweza. Kuna wanafunzi wa sekondari wamekuwa nominated kuja USA kushiriki katika mashindano ya kimataifa ya utengenezaji wa robots. Global Robotics Competition. 

 Wanafunzi hao takriban 7 watakuja pamoja na mentor wao. Alhamdulillah wanafunzi hao kila kitu chao kipo safi na hawana shida except mentor wao ambaye ni lecturer pale university of Dar es salaam. 

 The only thing amekwama ni kwenye accommodation maana mwanzo hakutarajia kuwa atapata nafasi ya kuambatana nao hao watoto. Sasa najaribu kumtaftia mtu ambaye atakuwa radhi kumkaribisha na kumpatia hifadhi kwa siku kadhaa watakazokuwa hapo DC approx 6 days mpaka mashindano kuisha. She is a female so akipata hifadhi ambayo ni female friendly itakuwa vizuri zaidi. Please kama unahisi utaweza msaidia basi naomba tuwasiliane.
http://first.global/

Shukran sana. Allah awafanyie wepes.

No comments: