Advertisements

Saturday, July 15, 2017

NEW YORK , NEW JERSEY, SUMMER BBQ BASH

Captain msaidizi wa timu ya New York, Elisante Shayo akikabiziwa Jersey na malikia wa nyuki wa timu ya New York tayari kwa mchezo wa jumamosi zidi ya D.C

Timu ya New York Tanzania Community( Nyati) wapo tayari kwa mchezo wao zidi ya timu ya Watanzania kutoka Washington D.C jumamosi hii ya Tar 15. 
Kuanzia saa nane mchana katika viunga vya Lincoln Park, Nj, Mchezo huu ni wakukata na Mundu na siyo wa kukosa maana historia ya machungu ya timu New york siyo ya kubeza kutokana na kupokea kipigo cha nusu dozen miaka miwili iliyopita vijana wamesema labda hitokee tu safari hii D.C watatafutana na kama siyo kutafuta njia ya kutokea uwanjani baada ya  kupata kipigo na vijana wa New York watakae ongozwa na vijana wenye damu mchanganyiko kutoka vyuo  vya mafunzo.  Vijana wamejitolea kuwafuta machozi wapenzi wao watakaokuwa wakiwachagiza  kwenye uwanja wanyumbani siku hiyo. Kabla ya Mchezo mwamuzi ataanza kukagua (Identity Card ) ya kila mchezaji ilikuondowa utata wa kupata watalii wasiokuwa na tija ya kizalendo, kwani Uzalendo wa Kitanzania kwanza.

Address ni hii : 

6 comments:

Unknown. said...

Tupatie address kamili,Lincoln park where? Hata Newark kuna Lincoln Park.Na kuna Lincoln park city pia,Na nina Imani kuna Lincoln park nyingine nyingi kwenye baadhi ya Miji mingine hapa NJ.Please tunaomba utupatie address kamili na Zip code.Hata ile BBQ iliyofanyika Jersey City miaka miwili iliyopita kuna watu walishindwa Kufika kwasababu kulikuwa hakuna information kamili.Na sisi Wengine tulifanikiwa kufika baada ya kuhangaika sana.

Anonymous said...

Kuna zip code kwenye tangazo.07035

Anonymous said...

Timu ya New York mnafanya mazoezi uwanja gani? Mi Nipo Montclair, NJ nataka nije niongeze majeshi...

Anonymous said...

Wasiliana ibra number

(347) 475-4313

Unknown. said...

Sasa hivi, umeweka information kamili Na ni rahisi kuelewa,kwasababu kuna mji unaitwa Lincoln park huku NJ,Ndiyo maana hapo awali nilikuwa nauliza Lincoln Park wapi?

Unknown. said...

Zip code ya kwenye tangazo Na ya kwenye maelezo zinatofautiana.