ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, July 2, 2017

PICHA YA BARBEQUE YA FRANCIS KINYASHI NA SULEIMAN KASAMIAMARRIOTTSVILLE, MARYLAND

Mama na baba Kinyashi wakiwa kwenye nyama choma watoto  Francis Kinyashi na Suleiman Kasama (hawapo pichani) iliyofanyika siku ya Jumamosi July 1, 2017 Marriottsville, Maryland na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka sehemu mbalimbali.
Maria Kinyashi (kati) akiwa katika picha ya pamoja na marafiki zake.
 Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye nyama choma watoto  Francis Kinyashi na Suleiman Kasama (hawapo pichani) iliyofanyika siku ya Jumamosi July 1, 2017 Marriottsville, Maryland na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka sehemu mbalimbali.
 Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: