Advertisements

Wednesday, July 26, 2017

SHAKA:CCM HAIOKOTI VIONGOZI BARABARANI KAMA VYAMA VINGINE VYA UPINZANI

 Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akimsalimia Mama mwenye ulemavu na kumpatia kiasi cha fedha alipokutananae wakati wa msafara wake kuelekea katika uzinduzi wa Ofisi ya Tawi la Bugarika Kata ya pamba.

 Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akiweka jiwe la msingi katika ofisi ya Tawi Bugarika wilayani nyamagana Mkoa wa Mwanza

 jiwe la msingi lililo wekwa na Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC) wilayani nyamagana Mkoa wa Mwanza.
 Injinia wa Barabara Ndg:Emilly Mbaga (kwanza kulia) akitolea ufafanuzi namna ya kuandaa mawe kabla ya kutengeneza barabara ya mawe kwa Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC) (wa kwanza kushoto) pamoja na Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Ndg:Stanslaus Mabula wakati wa kushiriki ujenzi wa Barabara ya mawe Wilayani Nyamagana kata ya pamba Bugando.
 Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC) (wa pili kulia)akishiriki Ujenzi wa barabara ya mawe kata ya Pamba Wilayani Nyamagana Mkoani Mwanza.
 Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC) pamoja na Wanachama ,Viongozi mbali mbali wa chama na jumuiya zake wakiwa na shamra shamra  alipowasili katika kikao cha ndani pa
 Katibu wa Umoja wa vijana wa CCM  Wilaya ya Nyamagana bi:Odilia Batimayo akisalimia na kuwakaribisha Viongozi mbali mbali wa chama na jumuiya zake katika Mkutano wa Ndani uliofanyika katika Ukumbi wa BELMONT FAIRMOUNT HOTEL.
  Baadhi ya mabango yakiwa na jumbe mbalimbali kwa ndg:Kaimu katibu mkuu wa umoja wa vijana wa ccm Ndg:Shaka Hamdu Shaka (MNEC)
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Ndg:Hussein Kim akisalimia na kuwakaribisha Viongozi mbali mbali wa chama na jumuiya zake katika Mkutano wa Ndani uliofanyika katika Ukumbi wa BELMONT FAIRMOUNT HOTEL
Naibu Mstaiki Meya wa jiji la mwanza Mhe: Biku kotecha akisalimia na kuwakaribisha Viongozi mbali mbali wa chama na jumuiya zake katika Mkutano wa Ndani uliofanyika katika Ukumbi wa BELMONT FAIRMOUNT HOTEL
 Mbunge wa jimbo la nyamagana Mhe:Stanslaus mabula  akisalimia na kutoa taarifa ya Utekelezaji wa majukumu ya ofisi ya mbunge jimbo la nyamagana kwa vijana katika Mkutano wa Ndani uliofanyika katika Ukumbi wa BELMONT FAIRMOUNT HOTEL
ndg:Rooben Sixbert Mwenyekiti wa Vijana wa CCM Mkoa wa Mwanza  akizungumza jambo kabla ya kumkaribisha Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC) kuzungumza na Viongozi mbali mbali wa chama na jumuiya zake katika Mkutano wa Ndani uliofanyika katika Ukumbi wa BELMONT FAIRMOUNT HOTEL
    Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka (MNEC)  akuzungumza na Viongozi mbali mbali wa chama na jumuiya zake katika Mkutano wa Ndani uliofanyika katika Ukumbi wa BELMONT FAIRMOUNT HOTEL(PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI)

No comments: