Advertisements

Monday, July 17, 2017

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA IRAN LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akisalimiana na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (kulia), alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. 
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akizungumza na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (katikati), katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. kulia ni Msaidizi wa Balozi wa Iran Ndg. Zuhura Ally.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akipokea ujumbe Maalum kutoka kwa Spika wa Bunge la Iran, uliowasilishwa leo na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (kulia), katika tukio lililofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments: