Familia ya Eric Magambo inapenda kuwataarifu kuwa ndugu yao Eric ameachiwa jana siku ya Ijumaa June 30, 2017 na kuwa sasa ameungana na familia yeke.
Shukurani za pekee kwa wote kwa namna moja au nyingine mlisaidia kwa hali na mali kwa michango na mawazo ili kufanikisha kwa Eric awe uraiani na aweze kujumuika na familia yake..
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema awazidishie.
Asanteni
No comments:
Post a Comment