Advertisements

Monday, July 17, 2017

VIDEO: KAMA HUNA SIFA HIZI USIJE KWENYE USAILI WA KLABU YA MAJIMAJI.

Katibu wa kamati huru ya uchaguzi wa KLABU ya MAJIMAJI ELISIUS NDUNGURU ametoa sifa za kugombea kwenye uchaguzi wa klabu ya majimaji utakaofanyika hapo AGOST 5 .

No comments: