Advertisements

Wednesday, July 26, 2017

WABUNGE NENE (8) WA CUF WALIOFUKUZWA KWENYE CHAMA WATOSWA UBUNGE

2 comments:

Anonymous said...

Umaskini mbaya sana! Mtu ni Professa lakini bado ni masikini! Akiahidiwa pipi ya CCM, anataka kuilamba kwa: (I) kudhoofisha upinzani bungeni; (ii) kudhoofisha chama chake; (iii) kuua wabunge wa chama chake kisiasa.

Haijawahi kutokea mwenyekiti wa chama anafukuza wabunge. Huyu Lipumba hapo kafanya pumbazzzzz!

Anonymous said...

Both Lipumba na Maalim Seif need to go. CUF haiwezi ku survive kama those two individuals au mmoja wao ataendelea kuwepo katika chama.