ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, August 26, 2017

IBADA YA KUMBUKUMBU YA MZEE BERTRAM ANDREAS MAHAI BALTIMORE

Misa ya Ibada ya kumbukumbu ya mzee Bertram Andreas Mahai iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 26, 2017 katika kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland nchini Marekani. Picha na Vijimambo na Kwanza Production.
Padri Honest Munishi akiongoza Misa ya Ibada ya kumbukumbu ya Mzee Bertram Andreas Mahai iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 26, 2017 katika kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland nchini Marekani. Picha na Vijimambo na Kwanza Production.
Familia ya mzee Bertram Andreas Mahai ikifuatilia misa ya ibada ya kumbukumbu ya mpendwa wao iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 26, 2017 katika kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland nchini Marekani. Picha na Vijimambo na Kwanza Production.
WanaDMV na marafiki zao wakijumuika pamoja na familia yaMzee Bertram Andreas Mahai katika misa ya ibada ya kumbukumbu ya mpendwa baba yao iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 26, 2017 katika kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland nchini Marekani. Picha na Vijimambo na Kwanza Production. Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: