ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 23, 2017

Msanii kutoka (NTT) amwaga mistari yake kwa uchungu!

Msanii wa Muziki wa Bongo Flava kutoka New Talents Tanzania (NTT)  Helton Dickson akiwa katika harakati za kutafuta njia ya kutokea kupitia Muziki, amefunguka na kumwaga Mistari yake huku akiwa na hisia kali kwenye mashahiri yake.
Msanii huyo ameiambia Super News TV kuwa kwa sasa anauchungu na hasira ya kufa mtu katika muziki, hivyo anaamini uwezo wake katika kipaji chake cha kuimba na kutunga vinaweza kumfikisha mbali endapo atapata usimamizi mzuri yaani Management.

Kwako mdau wa muziki tazama na kusikiliza uwezo wa msanii Helton kupitia video hii, ukilidhishwa na uwezo wake unaweza kumsaidia kwa namna moja manyingine kupitia namba hii 0658161950. 


No comments: