Mgeni rasmi, Flora Kimaro ambaye ni Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi
Taasisi ya MOI akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani
yaliofanyika Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili leo. Pamoja na
maadhimisho hayo Chama cha Wakunga Nchini (TAMA) kimepongezwa kwa kutoa
huduma za afya ambapo watu wanapima afya leo katika hospitali hiyo. Siku
ya Wakunga Duniani huadhimishwa Mei 5, kila mwaka, lakini TAMA tawi la
Muhimbili imeamua kuadhimisha siku hii katika wiki ya unyonyeshaji
duniani.
Baadhi ya wananchi waliofika katika siku ya maadhimisho hayo wakimsikiliza mgeni rasmi.
Mgeni rasmi akikakata utepe akiashiria kuanza kwa shughuli za maadhimisho hayo ikiwa ni pamoja na kupima watu mbalimbali afya
Mmoja wa wauguzi, Gladisia Kessy akimpima afya mmoja wa watu waliofika Muhimbili leo kwa ajili ya kushuhudia maadhimisho hayo.
Mgeni rasmi pamoja na baadhi ya maofisa wa Muhimbili wakiwamo wakunga wakielekea meza kuu leo.
Baadhi ya watu wakifuatilia maadhimisho hay oleo.
Maofisa wa Muhimbili wakiwamo wakunga wakiwa katika picha pamoja leo.

No comments:
Post a Comment