Familia ya Marehemu Mother Jessie Eva Amour iliyopo Zanzibar inapenda kuwajulisha kwamba mwili wa Marehemu Wilson Charles Amour unatarajiwa kuwasili kesho Aug 26, 2017 saa Saba mchana katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar na Ethiopia Airlines.
Shughuli za mazishi tutawatangazia haraka iwezekanavyo.
Kwa mawasiliano: Sarah 0753-597500
No comments:
Post a Comment