ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 8, 2017

PICHA: YANAYOJIRI TAMASHA LA SIMBA UWANJA WA TAIFA LEO

Mashabiki wa Simba waliojitokeza kwenye Tamasha la Simba Day linalofanyika Kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salam. Klabu ya Simba yenye maskani yake Msimbazi jijini Dar es Salaam ina utaratibu wake wa kuenzi vitu vyake vya klabu kwa kuanzisha siku maalumu ambayo wanasimba wote hukusanyika pamoja kujadiliana mambo mbalimbali. Agosti 8 ya kila mwaka huwa ndiyo siku hiyo iliyopewa jina la ‘Simba Day’, wameichagua wao Wanasimba kama sehemu ya kumbukumbu ambapo huchagizwa na mambo mengi ikiwemo kutoa misaada kwa jamii inayowazunguka, kubadilishana mawazo, na mwisho huchezwa mechi ambayo ndiyo huitimisha kila kitu.

Haruna Niyonzima Akitambulishwa Mbele ya Mashabiki wa Simba kwenye Tamasha la Simba Day Linaloendelea Uwanja wa Taifa Muda Huu
 Gyan
 Okwi
 Kocha Mkuu Omong
 Jackson Mayanja
 Manara

 Msemaji wa Simba Haji manara Akiwatambulisha Nahodha Msaidizi Mohamed Husein kwa Mashabiki wa Simba Akiwa Sambamba na Nahodha wa Timu hiyo Mwanjali















3 comments:

Anonymous said...

Haji Manara is so Simba,I have never seen that before? God bleass you ndugu. Ninafurahi sana kukuona.

Anonymous said...

Good on you Haji Manara
from unofficial tawi la Simba - Australia

Anonymous said...

I cannot believe Simba leaders wanasota Keko