Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi. Mariam A. Mtunguja akisisitiza jambo
mbele ya watumishi wa umma kutoka mikoa ya Songwe, Iringa, Njombe na
Mbeya alipokuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa semina ya siku nane juu
ya Uimarishaji wa Mifumo ya Kisekta (PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina
hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za
Umma (PS3) kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani
(USAID). Watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya,
Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na
Halmashauri za mikoa hiyo
Kiongozi wa wawezeshaji Bw. Frank Makua Charles akichokoza mada wakati
wa semina katika akichokoza mada wakati siku ya kwanza ya semina ya siku
nane kuhusu Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya
Serikali za Mitaa (PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina hii ya siku nane
inaendeshwa kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma
(PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani
(USAID)ambapo imeshirikisha watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango,
Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi
za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.
Mwakilishi wa Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
Makao Makuu Dar es Salaam Dkt. Gemini Mtei akielezea jambo wakati wa
hafla ya ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya Mfumo mpya wa kuandaa
Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) leo Jijini
Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo
ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la
Watu wa Marekani (USAID). Semina hii imewahusisha watumishi kutoka kada
za Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga
Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe,
Iringa na Songwe.
Mwakilishi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Mamlaka ya Serikali za
Mitaa (OR – TAMISEMI), Bw. James Mtatifikolo akifafanua jambo wakati wa
hafla ya ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya Mfumo mpya wa kuandaa
Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep) leo Jijini
Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo
ya Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la
Watu wa Marekani (USAID). Semina hii imewahusisha watumishi kutoka kada
za Maafisa Mipango, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga
Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe,
Iringa na Songwe.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi. Mariam A. Mtunguja akiagana na Meneja
Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Mkoa wa Mbeya
Bw. Gasper Materu mara baada ya ufunguzi wa semina ya siku nane juu ya
Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa
(PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya
Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) kwa ufadhili wa Shirika la
Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID) ambapo inahusisha watumishi wa
umma kutoka kada za Maafisa Mipango, Wachumi, Makatibu wa Afya,
Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu kutoka Halmashauri na Mikoa ya
Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe.Katikati ni Mwakilishi wa Programu ya
Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Dar es Salaam Dkt. Gemini
Mtei.
Baadhi ya washiriki wa semina ya siku nane kuhusu Mfumo mpya wa kuandaa
Mipango na Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa (PlanRep)
wakifuatilia mada wakati wa ufunguzi wa semina hiyo leo Jijini Mbeya.
Semina hiyo inayoendeshwa kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya
Sekta za Umma (PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa
Marekani (USAID). Semina hii imewahusisha watumishi kutoka kada za
Maafisa Mipango, Wachumi, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama,
Waganga Wakuu katika ngazi za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya,
Njombe, Iringa na Songwe.
Mmoja ya wawasilisha mada kutoka OR – TAMISEMI Bw. Jeremia Mtawa
akiwasilisha mada kuhusu namna mfumo wa PlanRep utakavysaidia katika
kuimarisha utendaji wa Halmashauri nchini wakati wa semina semina ya
siku nane kuhusu Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma katika upangaji
mipango na bajeti (PlanRep) leo Jijini Mbeya. Semina hii ya siku nane
inaendeshwa kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma
(PS3) chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani
(USAID) ambapo inashirikisha watumishi kutoka kada za Maafisa Mipango,
Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama, Waganga Wakuu katika ngazi
za Mikoa na Halmashauri za mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa na Songwe.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi. Mariam A. Mtunguja (katikati) akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki washiriki wa semina ya
siku nane juu ya Mfumo mpya wa kuandaa Mipango na Bajeti za Mamlaka ya
Serikali za Mitaa (PlanRep) mara baada ya kufungua semina hiyo leo
Jijini Mbeya. Semina hiyo inaendeshwa Kupitia Programu ya Uimarishaji wa
Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la
Watu wa Marekani (USAID) ambapo inahusisha watumishi wa umma kutoka kada
za Maafisa Mipango,Wachumi, Makatibu wa Afya, Wahasibu, Maafisa Tehama,
Waganga Wakuu kutoka Halmashauri na Mikoa ya Mbeya, Songwe, Iringa na
Njombe.
No comments:
Post a Comment