Vijana 6 kutoka Mji wa Vallejo, California wautembelea Ubalozi wa Tanzania, Washington, D.C. Mji wa Vallejo ni Mji Dada na Mji wa Bagamoyo. Lengo la ziara yao ni kupenda kujua na kujifunza masuala mbalimbali kuhusu Tanzania, kwakuwa wanatarajia kutembelea mji wa Bagamoyo mwaka 2019.
Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi na afisa wa ubalozi Bw. Dismas Assenga wakiwa na vijana kutoka Vallejo, California
Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi na afisa wa ubalozi Bw. Dismas Assenga wakiwa na vijana kutoka Vallejo, California
No comments:
Post a Comment