WAZIRI MKUU AKUTANA NA UJUMBE WA UNICEF TANZANIA NA UNDP TANZANIA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwakilishi wa UNISEF Nchini Tanzania Bibi Maniza Zaman . wakati alipofika ofisini kwa Waziri Mkuu . magogoni Dar es salaam agosti 2. 2017 kwa mazungumzo ya kikazi. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akutana na mwakilishi mkazi wa Unisef Nchini Tanzania Bibi Maniza Zaman Ogasti 2. 2017 kwa mazunguzo ya kikazi yaliyo fanyika ofisni kwa Waziri Mkuu Magogoni Dar es salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwakilishi mkazi wa UNDP nchini Tanzinia Bwana Alvaro Rodriguez , wakati walipo mtembelea ofisini kwake Magogoni Dar es salaam .kwa mazungumzo ya kikazi Katikati ni Mwakilishi wa UNISEF Nchini Tanzania Maniza Zaman.
No comments:
Post a Comment