Mnakaribishwa Sana kushiriki ibada ya Misa kwa lugha ya Kiswahili kama ilivyo desturi yetu kila mwezi na pia Ibada hii itatujumuisha ubatizo na mkutano wa mwaka wa wanajumuiya. Ibada hii itafanyika katika kanisa la Mtakatifu Edward (St Edward Parish)
Anwani: 901 Poplar Grove St.
Baltomire, MD 21216
Simu: 410 362 2000
.
Jumapili Tarehe 24,09,2017, muda Ni saa nane ya Mchana (8:00 Mchana) Karibuni sana na tunakuomba usisite kumualika rafiki yako na jirani yako. (palipo na upendo Mungu yupo).
Kwa niaba ya Padri Honest Munishi ni M/kiti Patrick Kajale.
ZINGATIA MUDA
No comments:
Post a Comment