ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 25, 2017

LEMA na NASSARI watachofanya iwapo raisi MAGUFULI hatawasiliza wampe ujumbe huu.

1 comment:

Anonymous said...

Nassari na Lema huko ni kuweweseka baada ya kugundua kuwa mmeishiwa nguvu, pia uchaguzi ujao mtakufa kifo cha mende.

Kama kweli mna ushahidi wa hayo yote mliyoyasema wekeni hadharani tuone, halafu na mimi nitaweka hadharani ushahidi wote wa akina Mbowe, Lissu na Maalimu Sefu walivyokatiwa pesa na Lowassa. Picha zote ninazo, naomba mfanye haraka kuweka huo mnaouita ushaidi hadharani, nami nitawaonyesha yote yaliyofanywa na hao mnaowaita wakubwa wenu.