ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 25, 2017

RAIS DKT MAGUFULI AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU SITA MKOANI ARUSHA LEO

 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi wa Singisi kata ya Akeri nje kidogo ya jiji la Arusha kwenye njia panda ya KIA waliosimamisha msafara wake akiwa njiani kurejea Dar es salaam leo asubuhi Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano mkoani Arusha.

 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisindikizwa na wakuu wa mikoa ya Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira na wa Arusha Mhe Mrisho Gambo akati akielekea kupanda ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)  kurejea  Dar es salaam leo asubuhi Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano mkoani Arusha.
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa mikoa ya Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira kabla ya  kupanda ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)  kurejea  Dar es salaam leo asubuhi Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano mkoani Arusha.

 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo kabla ya kupanda ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)  kurejea  Dar es salaam leo asubuhi Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano mkoani Arusha.
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungiwa mikono na  Mkuu wa mikoa ya Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira na Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakati ndege yake ikiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)  kurejea  Dar es salaam leo asubuhi Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano mkoani Arusha.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo na Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo wakiondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)  baada ya kumsindikisza Rais Dkt John Pombe Magufuli leo asubuhi Septemba 25, 2017 baada ya kumaliza ziara yake ya siku tano mkoani Arusha.

No comments: