ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 18, 2017

TANGAZO LA MSIBA: DMV NA TANZANIA

Ndugu yetu Abdulrahman Buheti amefiwa na Mama yake mzazi huko nyumbani Tanzania,

 Kama ilivyo mila na desturi zetu kupeana faraja katika hiki kipindi kigumu kwa watakoweza kwenda kumpa pole mfiwa.

msiba hapa DMV upo address ni: 
 2612 Kirkwood place apartment 202. 
 Hyattsville MD 20782. 

 Namba ya mfiwa (240) 640-8895 

 Inna lillahi wainna ilaihi raajun.

No comments: