MOSES TAYARI AMESHATOA SINGLE ALBUM YA KWANZA AMBAYO INA NYIMBO TATU INAPATIKANA KWENYE GOOGLE PLAY KWA JINA LA MOFRANK. TAFADHALI.. NDUGU, JAMAA, MARAFIKI WA ATLANTA NA WALE WA NJE YA ATLANTA, GEORGIA TWENDENI KWA PAMOJA KWENYE GOOGLE PLAY TU SUPPORT KAZI YAKE KWA KUNUNUA, KUSIKILIZA, NA KUSHAURI ILI TUMSAIDIE KUKUA KIMUZIKI ZAIDI.
Go to link: https://play.google.com/store/music/album/mofrank_Mo?
No comments:
Post a Comment