ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 25, 2017

MANISPAA YA ILALA YATOA TARATIBU ZA ULIPAJI FIDIA YA ARDHI KWA WANANCHI

Afisa Uhusiano wa Manispaa ya Ilala Bi. Tabu Shaibu akieleza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu taratibu za ulipaji fidia ya ardhi kwa wananchi wa Manispaa hiyo katika mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mthamini wa Manispaa hiyo Bw.Joseph Kawiche.
Mthamini wa Manispaa ya Ilala Bw. Joseph Kawiche akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani ) kuhusu taratibu za ulipaji fidia ya ardhi katika Manispaa hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Uhusiano wa Manispaa hiyo Bi. Tabu Shaibu.

No comments: