Advertisements

Sunday, October 22, 2017

SHEREHE YA SIKU YA KUZALIWA YA MTOTO ALICIA, LAUREL, MARYLAND

Keki ya siku ya kuzaliwa ya Alicia (hayupo pichani kwenye sherehe yake ya kutimiza mia 6 aliyofaniwa na wazazi wake nyumbani kwao Laurel na kuhudhuriwa na watotowenzake ambao walikua wamevalia kama mabinti wa mfalme.

Sherehe hii ilianzaia siku ya Ijumaa Oktoba 20, 2017 kwa Alicia na marafiki watotowenzake kula chakula cha jioni pamoja kwenye hotel Arundel Mills na kulala huko na kesho yake Jumamosi Okta 21, 2017 kumalizia sherehe nyumbani kwa wazazi wa Alicia Laurel, Maryland. Picha na Vijimambo Blog na Kwanza Production.
Alicia akiwa katika picha ya pamoja na wazazi wake Vincent na Edah 
Alicia akiimbiwa wimbo wa kuzaliwa na watoto wenzake
Alicia akipata ukodak moment.
Baba akimsaidia Alicia kukata keki.
Mama alimlisha Alicia keki.
Baba akilimlisha Alicia keki.
 Alicia akimlisha keki mama.
Alicia akimlisha keki baba
Alicia akipozi kwa picha

Alicia akipozi kwa picha na kaka yake Darius
Alicia akiwa katika picha ya pamoja na watoto wenzake.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Wazazi wakiwaandalia chakula Alicia na watoto wenzake.
watoto wakijiandaa kula
No comments: