Bodi ya wakurugenzi ya klabu ya Ndanda FC yenye maskani yake manispaa ya Mtwara Mikindani imeukana udhamini wa kampuni ya Maxcom Limited na Kiboko ambapo awali ulitangaza kutoa udhamini kwa klabu hiyo hivyo kuleta mvutano pande mbili kati wanachama na uongozi ambapo wanachama wandai kuwa na wadhamini wanne na huku timu ikiendelea kulalama ukata wa fedha.
No comments:
Post a Comment