
Vijimambo Media & Entertainment wakishirikiana na DICOTA Healthcare Forum inakukaribisha kwenye usiku wa kimataifa siku ya Jumamosi Nov 11, 2017 Safari Club Washington DC
4306 Georgia Ave NW
Kutakuwa na wageni watakaokuja kutoka sehemu mbalimbali USA na Tanzania! Njoo ujichanganye
Usiku wa kimataifa ndani ya Safari Club
KARIBUNI WOTE
No comments:
Post a Comment