Ningependa kuchukua fursa hii kutambulisha kwenu kipindi cha Njoo Tuongee
Njoo Tuongee ni kipindi kinachoendeshwa na shirika la Twaweza.
Kipindi hiki huhoji wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania juu ya utekelezaji wao katika wizara zao, pamoja na maoni yao kwa nchi yetu.
Kama mdau wa habari pamoja na mshiriki wetu mkuu katika kazi, tunapenda kukutaarifu kuhusu kipindi hiki.
Siku: Kila Ijumaa
Muda: 12:30 jioni (saa kumi na mbili na nusu jioni)
Stesheni: Star TV
Mgeni wa wiki hii: Dkt Harrison Mwakyemebe - Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na MIchezo
Kipeperushi cha kipindi hiki kimeambatanishwa.
Karibuni sana.

No comments:
Post a Comment