Advertisements

Monday, November 20, 2017

NG'ARING'ARI YA KWENYE BABY SHOWER YA LUIZA MAPUNDA ILIYOFANYIKA SPRINGFIELD. MA

Luiza Mapunda akiwa amekaa kwenye kiti chake cha kujidai siku ya Baby shower yake iliyofanyika Springfield.MA.

Hapa Mama Kijacho Luiza akiwa na Baba Kijacho Dj Rich wa Springfield. MA wakipata ukodak siku ya baby shower ya mama kijacho,
Luiza akipata ukodak na familia yake kutoka Kansas City.
Ukodak wa pamoja mama kijacho na marafiki kwa taswira zaidi ya ukumbuni hapo nenda kwenye soma zaidi.


Dj Dennis kutoka Minneapolis akiwapakulia vitu vya moto moto kutoka kwenya santuri yake ukumbini hapo.
Kaka wa mama Kijacho kutoka Kansas City akipata ukodak.

No comments: