Advertisements

Friday, November 24, 2017

WADAU WAISHAANZAINGIA HOUSTON TANGIA JUMATANO

NY Ebra (kushoto) akipata selfie na mcheza sinema wa Baby Powder Hadji Helper walipokua wakikatiza mitaa ya Houston, Texas mapema siku ya Ijumaa Novemba 24, 2017. Ebra na wadau wengine wengi kutoka kila kona zikiwemo timu za mpira wapo Houston kwa ajili ya Bash la Thanksgiving linalfanyika kila mwaka mwishoni mwa Novemba.

No comments: