Annah George Ndamcho akipata picha yakumbukumbu ya maisha yake siku ya Jumamosi Desemba 2, 2017 baada ya kukamata nondo ya Master of Business Administration katika chuo kikuu cha Strayer kilichopo Washington, DC. Picha na Vijimambo Blogna Kwanza Production
Annah akiwa katika picha ya pamoja na wazazi wake waliokuja kutoka Tanzania kushuhudia mtoto wao akikamata Nondoz.
Annah akiwa katika picha ya pamoja na mjomba na shangazi.
Familia ikipata picha ya pamoja na Annah.
Familia ndugu na marafiki wakipata picha ya kumbukumbu mara baada ya mahafali kumalizika.
Wakuu wa chua na msemaji mkuu wakiongoza mahafali hiyo.
Alicia Williams akiimba wimbo wa Taifa wa Marekani.
William Raha akisoma hotuba yake kwa wahitimu kama msemaji mkuu wa mahafali hiyo ya chuo kikuu cha Strayer.
Annah (watatu toka kulia akifuatilia mahafali hiyo kabla ya kukamata nondoz yake.
Annah akielekea kukamata nondoz yake.
Annah akipokea nondoz yake.
Annah akielekea kukaa baada ya kukamata nondoz yake.
Baba na mama Ndamcho ( wazazi wa Annah)
Ndugu, jamaa na marafiki wa Annah wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Mjomba na shangazi wakiondoka mara baada ya mahafali kumalizika.
Baba, mama na marafiki wa Annah wakiwa na furaha mara baada ya mahafali ya chuo kikuu cha Strayer kumalizika.
Familia ikitoka ukumbini.
No comments:
Post a Comment