Advertisements

Sunday, December 17, 2017

HEAD INC GALA YAFANA


Bwn. Idd Sandaly akielezea Head Inc. ni nini na jinsi gani wanavyofanya kazi katika kujaribu kuokoa maisha ya Watanzania wenzao nyumbani Tanzania Head Inc iliratibu shughuli nzima yenye lengo la kuchangia madawa na madaktari watakaopelekwa Tanzania mwaka 2018. Head Inc gala ilifanyika siku ya jumamosi Dec 16, 2917.

Bi Asha Nyang'anyi CEO wa Head Inc akielezea jambo.

wageni waalikwa wakifuatilia maelezo ya Asha Nyang'anyi
Idd Sandali (hayupo pichani)akiendelea kuwajuza wageni waliofika kwenye Head Inc Gala Dinner.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

No comments: